WAONGO NDANI YA BIBLIA:
1. Mtu anayesema anampenda Mungu lakini anamchukia jirani yake, Biblia inamuita mtu huyo ni #Muongo.
1 Yohana 4:20
Mtu akisema, Nampenda Mungu, naye anamchukia ndugu yake, ni #mwongo; kwa maana asiyempenda ndugu yake ambaye amemwona, hawezi kumpenda Mungu ambaye hakumwona.
2. Mtu anayekataa kwamba Yesu sio Krusto(Masihi) au anayekataa kwamba Yesu sio mwana wa Mungu, Biblia inamuita mtu huyo ni #Muongo.
1 Yohana 2:22,23
Ni nani aliye #mwongo ila yeye akanaye ya kuwa Yesu ni Kristo? Huyo ndiye mpinga Kristo, yeye amkanaye Baba na Mwana.
Kila amkanaye Mwana, hanaye Baba; amkiriye Mwana anaye Baba pia.
3. Mtu anayesema anampenda Mungu lakini anakataa kushika amri zake, Biblia inamuita mtu huyo ni #Muongo:
1 Yohana 2:4
Yeye asemaye, Nimemjua, wala hazishiki amri zake, ni #mwongo, wala kweli haimo ndani yake.
Mungu hasemi uongo hata siku moja tunapaswa kutii na kufuata kile alichoagiza:
Tito 1:2
katika tumaini la uzima wa milele, ambao Mungu asiyeweza kusema #uongo aliuahidi tangu milele;
Mungu akubariki

Comments
Post a Comment