#
WAEBRANIA SURA YA 4:
AWEKA TENA SIKU NYINGINE
Mungu ni mwema watu wa Mungu.
Kitabu cha Waebrani kiliandikwa kwa Waebrani/ Wayahudi ambao walikuwa wanamfahamu Mungu vizuri, Sura ya 3 na 4 inaonesha Waebrania hawa walianza kulegea katika utunzaji wa Sabato, na hivyo Paul ambaye anasadikika kwamba ndiye mwandishi wa Waraka huu, anaanza kuwahimiza juu ya Utunzaji wa Sabato, kwa kurejea matukio ya nyuma yaliowapata Wana wa Israeli baada ya kuvunja sabato wakiwa Jangwani na matokeo yake wakashindwa kuingia Nchi ya ahadi:
#Waebrania 3:16-19
Maana ni akina nani waliokasirisha, waliposikia? Si wale wote waliotoka Misri wakiongozwa na Musa?
Tena ni akina nani aliochukizwa nao miaka arobaini? Si wale waliokosa, ambao mizoga yao ilianguka katika jangwa?
Tena ni akina nani aliowaapia ya kwamba hawataingia katika raha yake, ila wale walioasi?
Basi twaona ya kuwa hawakuweza kuingia kwa sababu ya kutokuamini kwao.
Paulo ameanza kwa kuwarejesha nyuma jinsi watu ambavyo waliahidiwa Nchi ya Kanani lakini waengi walishindwa kuingia kwa sababu Walinajisi Sabato na matokeo yake wengi wao wakafa jangwani na kushindwa kupata raha ya kanani.
#Ezekieli 20:12-14
Tena naliwapa sabato zangu, ziwe ishara kati ya mimi na wao, wapate kujua ya kuwa mimi, Bwana, ndimi niwatakasaye.
Lakini nyumba ya Israeli waliniasi jangwani; hawakuenda katika amri zangu, wakazikataa hukumu zangu, ambazo mwanadamu ataishi kwazo, kama akizitenda; na sabato zangu walizitia unajisi sana; ndipo nikasema, Nitamwaga hasira yangu juu yao jangwani, ili niwaangamize.
Wana wa Israel waliahidiwa Raha ya kuingia katika Nchi ya Kanani, lakini wengi wao hawakuweza kuingia kwa sababu ya kuasi kwao Sabato, na hivyo kizazi kilichotoka Misri asilimia kubwa walifia Janwani, na walioingia Kanani asilimia kubwa ni kizazi kilichozaliwa Jangwani, isipokuwa Yoshua na Kalebu.
Ndipo sasa Paulo anarejea pia kwa kizazi hiki kwa kusema:
#Waebrania 4:1
Basi, ikiwa ikaliko ahadi ya kuingia katika raha yake, na tuogope, mmoja wenu asije akaonekana ameikosa.
Sasa ahadi inayozungumzwa hapa ni Ahadi ya kuingia Kanani ya Mbinguni na sio ya Duniani tena. Lakini Sabato inabaki kuwa ni kipimo cha kutii au kuasi, ina maana kwamba Ukitii Sabato utapata Raha ya kurithi makao ya amani, na ukiasi sabato utaangamia kama Wana wa Israeli walivyo angamia jangwani.
#Waebrania 4:2
Maana ni kweli, sisi nasi tumehubiriwa habari njema vile vile kama hao. Lakini neno lile lililosikiwa halikuwafaa hao, kwa sababu halikuchanganyika na imani ndani yao waliosikia.
Sasa Paul anasema sisi nasi tumehubiriwa habari njema kama wana wa Israeli ya Kurithi Kanani, changamoto ya Waisrael hawakuwa na imani ndio maana Walinajisi sabato na wakashindwa kuingia Kanani. Ndivyo ilivyo hata sasa Mamilioni ya watu wanadai kwamba Wanatazamia kuishi mji Mtakatifu wa Yerusalemu ya mbinguni, lakini wananajisi Sabato kama Waisrael walivyofanya.
#Waebrania 4:4-6
Kwa maana ameinena siku ya saba mahali fulani hivi, Mungu alistarehe siku ya saba, akaziacha kazi zake zote;
na hapa napo, Hawataingia rahani mwangu.
Basi, kwa kuwa neno hili limebaki kwamba wako watu watakaoingia humo, na wale waliohubiriwa habari ile zamani walikosa kuingia kwa sababu ya kuasi kwao,
Bado msisitizo ni juu ya siku ya Saba ambayo Mungu alipumzika na kustarehe, ambayo ni Sabato, kwamba ijapokuwa tunatazamia Raha ya Mji Mpya, lakini bado kuna watu watakosa kuingia kwa sababu ya kuasi sabato kama ambavyo wana wa Israeli waliasi sabato na wakashindwa kupata Raha ya Nchi ya Kanani.
#Waebrania 4:7-9
aweka tena siku fulani, akisema katika Daudi baada ya muda mwingi namna hii, Leo; kama ilivyonenwa tangu zamani, Leo,kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu.
Maana kama Yoshua angaliwapa raha, asingaliinena siku nyingine baadaye.
Sasa hapo watu wengi hupenda kupotosha, Waislamu wanasema ameiweka Ijumaa baadala ya Sabato, Waabudu Jumapili wanasema ameiweka jumapili.
Hoja hapo ni kwamba kama ambavyo Waisraeli waliasi na kunajisi Sabato na wakashindwa kuingia katika Kanani, basi Mungu ameweka siku nyingine, sio ya Ibada bali siku iliyowekwa ni kwa watu Kutokufanya migumu mioyo yao ya kunajisi sabato. Siku hiyo ni LEO, Inamaana kwamba Mungu ameweka tena siku nyingine ya kutukumbusha mafundisho yaleyale, ili nasi tusije tukaasi kama wana wa Israeli. Na siku hiyo ni Leo na sasa hivi hata unaposoma ujumbe huu usifanye moyo wako kuwa mgumu, kwa kuendelea kunajisi Sabato.
#Waebrania 3:15
hapo inenwapo, Leo, kama mtaisikia sauti yake, Msifanye migumu mioyo yenu, Kama wakati wa kukasirisha.
#NB: Anasema Mungu alinena kupitia Daudi, Je, ni kweli kipindi cha Daudi ndipo Mungu aliiweka Jumapili au Ijumaa? Jibu ni hapana maana Daudi aliishi miaka mingi kabla hata ya Yesu. Na tunafahamu jumapili ilitangazwa na Mfalme Costantino mwaka 321AD, na Ijumaa ilianza kuwa siku ya swara baada ya Mohamad kupata utume mwaka wa 610AD
Ina maana kabla ya hapo watu walikuwa wakiabudu siku ya Sabato tu.
#Waebrania 4:8

Sasa ni #RAHA gani ambayo Yoshua alishindwa kuwapa Wana wa Israeli? Ni Raha ya Kuingia katika Nchi ya Kanani iliyojaa Maziwa na Asali, na kilichosababisha washindwe kuingia ni kwa sababu walishindwa Kuifurahia Sabato, bali wao wakainajisi kwa kufanya Kazi zao baadala ya kupumzika.
Ina maana kama Wana wa Israel wangemtii Mungu kwa kutunza Sabato, basi Mungu hangeweka tena siku ya kuwahimiza watu Watunze sabato.
.
Na ndipo sasa anawaambia:
#Waebrania 4:9-10
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.
Paulo anahitimisha kwamba imesalia Raha ya sabato kwa watu wa Mungu, maana unapoifurahia Sabato kwa kupumzika, unakuwa unafanya kama Mungu alivyofanya baada ya kuumba, na Unakuwa unajiandaa kwa RAHA ya milele.
Baadhi ya watu huwa wanapinga kwamba Sabato sio Raha, RAHA, ni hali ya mtu kuwa na furaha na amani, sasa sabato ni siku ya FURAHA, kwanini isiwe siku ya RAHA?
#Isaya 58:13
Kama ukigeuza mguu wako usihalifu sabato, usifanye anasa yako siku ya utakatifu wangu; ukiita sabato siku ya #furaha, na siku takatifu ya Bwana yenye heshima; ukiitukuza, kwa kutokuzifanya njia zako mwenyewe, wala kuyatafuta yakupendezayo, wala kusema maneno yako mwenyewe;
Kwa hiyo ukiifanya Sabato kuwa siku ya Furaha huwezi kumuasi Mungu kwa kuvunja sabato.
#Waebrania 4:11
Basi, na tufanye bidii kuingia katika raha ile, ili kwamba mtu ye yote asije akaanguka kwa mfano uo huo wa kuasi.
Msisitizo ni kwamba tufanye bidii ya kuingia katika Raha ya Mbinguni, ili asije mmoja wetu akaanguka kwa mfano wa kuasi, Je, Waisraeli waliasi nini hata wakashindwa Kuingia katika mji wa Kanani? Ni kwa sababu walinajisi Sabato.
#HITIMISHO:
Msisitizo wa Paul ni kwamba wana wa Israeli walishindwa Kuingia Nchi ya Kanani kwa Sababu waliasi SABATO;
Nasi Pia tutashindwa kuingia katika Kanaani ya mbinguni kwa sababu ya Kuiasi SABATO,

Usifanye moyo kuwa mgumu kwa kushikiriana na maagizo#WAEBRANIA SURA YA 4:

Usifanye moyo kuwa mgumu kwa kushikiriana na maagizo ya mwanadamu
Mungu akubariki

Comments
Post a Comment