*_UJUMBE MAALUMU KWA WATU WOTE_*
_____PASAKA______ CHIMBUKO LAKE.
*Pasaka kwa kigiriki ni* "Pasach" sawa na
*>>kiebrania* "Pasach". *>>Kwa kiingereza* ni
Passover.Hivyo kwa tafsiri ya Biblia pasaka sio "Easter".
☄
Pasaka ni sikukuu ya mikate isiyotiwa chachu
Matendo 12:1-5.
Neno " Pasaka " kwa kiingereza ni "Passover "
maana yake "kupita juu ya... "
☄
*Katika Agano la kale pasaka inazungumzwa kuwa* :.Mungu alimuagiza Musa kupaka damu katika miimo
ya milango ya Waisraeli wakati malaika AKIPITA kuangamiza wazaliwa wa. Kwanza wa wote wasio kuwa na hiyo alama ktk milango yao.
.....Kwa Waliopaka malaika alipita juu ya nyumba zao bila kuangamiza, waliokiuka alipita ndani na kuangamiza.
π
Kutoka 12:12-14; KJV.inasema"...nami nitapita juu yenu lisiwapate pigo lolote likawaharibu .....na siku hii itakua ukumbusho kwenu...
Hivyo pasaka ni kumbukumbu ya wana wa Israel toka
utumwani misri.
na Mungu akaagiza iendelezwe
hata nchi ya ahadi kanani.
πΉπΉπΉπΉ
Leo sisi ni Israeli ya kiroho tunaadhimisha kutoka
*Misri ya utumwa wa dhambi kwenda kanani ya mbinguni.*
......Katika Agano jipya *1Wakorintho 5:7-8.* Basi
jisafisheni mkatoe ile chafu ya kale ... ambapo Yesu mwenywe ndiye Pasaka wetu aliyekwisha kujitoa, hivyo twapasa kumkumbuka kuwa litufia na akatukomboa, alitoa agizo
*Luka 22:15* Akawaambia, Nimetamani sana kuila pasaka hii pamoja nanyi kabla ya kuteswa kwangu;
17 Akapokea kikombe, akashukuru, akasema, Twaeni hiki, mgawanye ninyi kwa ninyi;
19 Akatwaa mkate, akashukuru, akaumega, akawapa, akisema, [Huu ndio mwili wangu unaotolewa kwa ajili yenu; fanyeni hivi kwa ukumbusho wangu.
20 Kikombe nacho vivyo hivyo baada ya kula; akisema, Kikombe hiki ni agano jipya katika damu yangu, inayomwagika kwa ajili yenu.]
*Yohana 13:14* Basi ikiwa mimi, niliye Bwana na Mwalimu, nimewatawadha miguu, imewapasa vivyo kutawadhana miguu ninyi kwa ninyi.
15 *Kwa kuwa nimewapa kielelezo; ili kama mimi nilivyowatendea, nanyi mtende vivyo* .
....kwa maana *PASAKA* wetu amekwisha kutolewa kuwa sadaka yaani *kristo* ......
Hakuna andiko linaloagiza utunzaji wa,"Easter" kama pasaka.
hili la EASTER limetoka wapi?.
*πUKWELI JUU YA EASTERπ*
___________________________
Jina EASTER linatokana na "Ostera"
au"Eostre" ambaye ni. goddness of sprin
(mungu wa mavuno)
katika nchi za Anglo-
Saxon,
... Babeli anaitwa "Ishtar",
Syria anaitwa
"Ashtaroth",
Kiebrania anaitwa "Ashtoreth",
Kigiriki anaitwa "Eostre"
Germany anaitwa "Ostera"
"Ishter" hutamukwa. "Easter"ππ
Hii ni siku ya mungu
*"Tamuz"* ambaye ni mtoto wa pekee wa mungu jua na mungu mwezi
Nimrod ni mjukuu wa Nuhu kwa kijana wake
Ham.
Ham alikuwa na kijana aitwae Kushi.
Kushi
alioana na Semiramis wakapata mtoto anaitwa
*>Nimrod<*
Baada ya kifo cha baba yake Nimrod akamuoa mamayake mzazi Semiramis akawa mtawala mwenye nguvu sana.
Soma> Mwanzo 10:8-10)
πΉπΉπΉπΉ
Siku moja Nimrod alienda vitani na akauawa na
adui zake
...Semiramis akasema Nimrod ameenda juu
kwenye jua hivyo akaitwa Baal yaan mungu jua
(the goddnes of sun).Semiramis akaagiza
*akumbukwe kwa kuwasha mishumaa wakati wa ibada* (ndivyo wanavyofanya madhehebu mengi mpaka leo)
πΉπΉπΉπΉπΉ
� Semiramis akajiita "Ishtar"(easter)
*mungu mke*
"moon goddnes".
Huyu "Ishtar " akatembea n kijakazi wake akapata mimba akasema kapata
mimba ,kupitia " Sun rays(miali ya jua)" kutoka kwa
"BAALI (Nimrod) ambaye alikuwa
*mungu JUA au mungu mume.*
Akazaa mtoto akamwita " Tamuz ".
π©Έπ©Έ
Kijana huyo l (Tamuz) baadaye aliuawa na Nguruwe pori
alipokuwa akiwinda.
"Ishtar" *ANAABUDIWA kama "mother of god and queen of heaven".*
*JE YALIINGIA LINI KTK UKRISTO HAYA??*
Ni katik miaka 320s BK pale ukristo ulipoungana na upagani chini ya mfalme Constantine wa dola ya Rumi na viongoz wa kanisa chini ya maaskofu wa kikatoriki
Pamoja na tamaduni nyingi za kipagan ziliingizwa ikiwemo Sanamu ya Jupter( ikaitwa Mt Petro),Ibaada ya mungu jua iliyoanzia kwa nimrod(sunday), Ubatizo wa maji machache, kuomba msamaha makasisi(kitubio na vyeti vya msamaha), ubatizo wa watoto wachanga, ubatizo wa kunyunyuzia,Sikukuu ya kuzaliwa kwa Yesu"Christmass"(ingawa haipo kwenye biblia...n.k
pia "Ishtar" akaitwa Bikira Maria.
π
Baada ya kifo cha
Tamuz, mama yake
akatangaza siku 14 za maombolezo akap
iga *MARUFUKU ULAJI wa NYAMA* ktk Maombolezo hayo
......ndivyo mfumo wa kikatolik ukaanza kufanya ktk
Siku ya IJUMAA *(ijumaa kuu)* kabla ya Jumapili ya Easter"si ruhusa kula nyama
*...Tukio Hilo limevikwa hadhi ya KUMBUKUMBU YA MATESO YA YESU.*
Tazama hii:
ππ»
Every year on the first
Sunday after the first full moon after the spring
equinox a celebration was made until today).
"Ishtar/Ashtoreth" is queen of Heaven,
π§½π§½
*EASTER ni kumbukumbu ya TAMUZ "*
Tuwe makini na mafundisho yasiyo ya KWELI.
>>Ktk Waamuzi 2:11-13-inazungumza taifa lilivyo asi na kumwabudu *"Baal"*
.>>1Samwel 7:3-4-Waisraeli waligeukia Baali na *Ashtoreth*
>>1Wafalme 11:4-6-Suleimam alivyomuoa
mwanamke wa kimataifa akamgeuza na kuabudu
*"Ashtoreth"*
π Kwa maelezo ya ziada pitia hiki kitabu:
*_>>The Easter Celebration - History of Its Hidden Origins_* (Traditions of North America and the Western World Book 1)
ππ
Mimi nimechagua kuisikiliza Sauti ya MUNGU kupitia biblia pekee Wewe JE?
πNakuhakikishia kua siku inakuja utakir kua niliupokea ujumbe huu ukinisih niachane na mafundisho yasiyo kwenye biblia ila nikakaidi....
Mathayo 15:8-9
[8]Watu hawa huniheshimu kwa midomo;
Ila mioyo yao iko mbali nami.
*[9] *Nao waniabudu bure,
Wakifundisha mafundisho
Yaliyo maagizo ya wanadamu.**
Marko 7:8
[8]Ninyi mwaiacha amri ya Mungu, na kuyashika *mapokeo ya wanadamu.*
*
TAFAKARI* UUNGANE na kundi la watu wa MUNGU...Kama Biblia inavowatambua kwa
Ufunuo wa Yohana 14:12
[12]Hapa ndipo penye subira ya watakatifu, hao wazishikao *amri za MUNGU* na imani ya Yesu.
Tuma ujumbe huu kwa watu uwapendao USIPUUZE....maana siku ile watakulilia "...KAMA ULIYAJUA HAYA MBONA HUKUTWAMBIA?

Comments
Post a Comment