#NUHU NA #IBRAHIMU #WALITUNZA #SABATO
Baadhi ya Ndugu zangu hudai kwamba Sabato walipewa Waisraeli tu, na hivyo Vizazi vingine kama Nuhu na Ibramu hawakutunza Sabato. Sasa Mimi nasema Adamu, Nuhu na Ibrahimu walitunza sabato vizuri sana. Nasema hivyo kwa sababu Yesu anasema hivi:
#Marko:2.27
Akawaambia, Sabato ilifanyika kwa ajili ya mwanadamu, si #mwanadamu kwa ajili ya sabato.
Sasa ikiwa Yesu anasema Sabato ilifanyika kwa ajili ya Mwanadamu, na wala hasemi SABATO ilifanyika kwa ajili ya #Wayahudi.
#Swali:
1.#Adamu ni Mwanadamu au mnyama?
2.#Nuhu ni Mwanadamu au ni ndege
3.#Ibrahimu ni Mwanadamu au sio Mwanadamu?
Je, wewe unayepinga kwamba Adamu, Nuhu na Ibarahimu hawakutunza sabato Basi,Yesu alikosea katika hilo fungu kusema Sabato ilifanyika kwa ajili ya #Mwanadamu akiwemo Adamu, Nuhu na Ibrahim,,
Sasa naomba mtu mmoja anayekanusha kwamba hao Adamu, Nuhu na Ibarahimu sio #Wanadamu atusaidie.
Na ikiwa mnakubali kwamba Adamu, Nuhu na Ibrahim ni Wanadamu, basi muamini maneno ya Yesu kwamba Sabato, iliwahusu na wao pia, na Wana wa Israel na wewe pia maana wote ni Mwanadamu.
Na sabato inawahusu Watu wa Mungu, je Adamu, Nuhu, Ibrahimu hawakuwa watu wa Mungu?
Waebrania 4:9
Basi, imesalia raha ya sabato kwa watu wa Mungu.
Waebrania 4:10
Kwa maana yeye aliyeingia katika raha yake amestarehe mwenyewe katika kazi yake, kama vile Mungu alivyostarehe katika kazi zake.

Comments
Post a Comment