Je mnyama anayeangaziwa katika
ufunuo 13:1-8
anaweza akawa papa (pope)?
1: aya ya pili tunaona mnyama huyu akiwa na mfano wa wanyama watatu waliomtangulia (simba, chui na ndubu). Hivyo tamaduni zilizokuwa hapo awali babeli bado anazifanya. Kwanza upapa unatekeleza ibada ya jua(ibada ya jumapili). Pili, upapa unamuabudu tammuz na semmiramiz ikiwadanganya wengi kuwa ni maria.
2: aya ya kwanza tunaona ana majina ya makufuru. Tuulize bibilia kukufuru ni nini, marko 2:7 inasema Mungu pekee ndiye awezaye kusamehe. Hivyo ni kweli pope anasamehe.
3: aya ya tatu yohana aliona kimoja cha vichwa vyake kimetiwa jeraha la mauti. Mnamo mwaka 1798 upapa ulididimizwa na kiongozi aliyeitwa napoleon baada ya pope kutiwa gerezani na kulishwa mchanga. Baada ya kifo chake upapa uliangushwa lakini sasa jeraha limepona
4aya ya nne tunaona watu wakisujudu shetani kupitia kwake. Soma nami 2 wathesalonike 2:8&9 . Pia ibada za wafu anazofanya na umizimu na uchawi soma ufunuo 18:23
4: aya ya tano na sita tunaona akitukana jeshi la mbinguni. Wakati upapa unajihusisha na ibada za wafu ni kinyume cha amri za Mungu. Amri ya pili walitoa kabisa hii ikionyesha wazi kuwa upapa uko kinyume na Mungu. Soma 2wathesalonike 2:3-4. Hili fungu linaonyesha wazi jinsi upapa unavyojitukuza badala ya Mungu muumbaji.
6: aya ya saba na nane tunaona huyu mnyama akifanya vita na watakatifu na kuwashinda. Hii ni historia iliyofanyika kati ya mwaka 538 AD mpaka 1798AD uliwaua wayahudi milioni mia moja.
Upapa ni uongozi ambao unafanya kazi kinyume cha Mungu. Ulibadilisha amri za Mungu, ukabadilisha ibada ya Mungu kutoka siku ya saba mpaka siku ya kwanza ya juma. Kwa sasa umewaua wakristo kiroho kabisa. Lakini Mungu anajua kuwa ndani ya huyu mnyama kuna watu wake ambao wana nafasi ya kumrudia. Ndio maana anawaambia ufunuo 18:4&5.
TOKENI KWAKE ENYI WATU WANGU, MSISHIRIKI DHAMBI ZAKE WALA MSIPOKEE MAPIGO YAKE, KWA MAANA DHAMBI ZAKE ZIMEFIKA MBINGUNI NA MUNGU AMEKUMBUKA UOVU WAKE.

Comments
Post a Comment